Habari za Punde

BADO HAKIJELEWEKA SAWA SAWA

HADI TUNAONDOKA KATIKA ENEO LA BANDARINI BAADA YA ZOEZI HILO LA KUIOKOA MELI HIYO KWA SIKU YA LEO LIKIWA LIMESHINDIKANA MPAKA KESHO INSHAALLAH - PANAPO MAJAALIWA, KWA MUJIBU WA MKURUGENZI UFUNDI WA SHIRIKA HILO AMESEMA ZOEZI HILO LITAENDELEA KESHO
TUZIDI KUOMBA MUNGU JITIHADA ZIFANIKIWE INSHAALLAH

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.