Habari za Punde

SHULE YA SEKONDARI LUMUMBA

KWA WENGI WALIOBAHATIKA KUSOMA HAPA HII NI SHULE ILIYOBEBA HADHI YA KIPEKEE. KATIKA MIAKA YAKE KILA MWANAFUNZI ALIKUWA AKIFANYA KILA JITIHADA KUFAULU MASOMO YAKE ILI APATE NAFASI KWENYE SHULE HII.
HII NI SHULE ILIYOTOA WATAALAMU WA FANI MBALIMBALI HII NI SHULE AMBAYO IMEENDELEA KUWA NA HADHI YAKE LICHA YA UMAARUFU WAKE KUPUNGUA.
KAMA NI MIONGONI MWA WALIOBAHATIKA KUSOMA SHULE HII SI VIBAYA UKATUPATIA KUMBUKUMBU ZAKO NI BADO UNAKIKUMBUKA?
KWA UPANDE WANGU NAKUMBUKA MWAKA 1983 NILIKUWEPO HAPA NA TULIKUWA NA MWALIMU MMOJA AKITUSOMESHA SOMO LA SOCIAL SCIENCE KIDATU CHA TANO. ALIKUWA NI MWALIMU WA AINA YAKE KWANI ALITUCHUKULIA KAMA WANAFUNZI WA UNIVERSITY KWA KUTUPA UHURU WA KUINGIA DARASANI KUTOKA UTAKAVYO WALA HAIMSHUGHULISHI. KWA SISI WATORO WA SIKU HIZO TUPATE NINI TENA?

UNALO UNALOLIKUMBUKA?

1 comment:

  1. nilipitia hapo form 5 na 6 mwaka 1993 - 1995. ni shule nzuri sana tul;ikuwa na eneo tunaita ukanda wa gaza. haruhusiwi kijana wa o level kukatisha hapo maana ni ukanda wa hatari. ilikuwa ni shule yenye hadhi sina hakika kama sasa ikoje maana kina njeketu sasa wameshaondoka.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.