Habari za Punde

DEGE

Mojawapo katika ndege maalum za kukodi zinazoleta Watalii moja kwa moja kutoka Ulaya hadi Zanzibar. Wakati wa msimu wa utalii, uwanja wetu huwa uko katika harakati nyingi kupokea na pia kuwaaga Watalii waliobahatika kuichagua nchi yetu kama ni sehemu ya kuja kujipumzisha.

1 comment:

  1. asante sana kwa kutupa habari hii lakini mbona tunaambiwa ndege kubwa hazitui hapo uwanja wa ndege wa zanzibar au iyo picha ni chata napenda jibu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.