Habari za Punde

EID MUBAARAK


Tunawatakia Waislamu wote Sikukuu ya eidul fitr ya kheri na pia kumshukuru MwenyeziMungu kwa kutuwezesha kumaliza mfungo wa mwezi wa Ramadhaan kwa salama. Tumuombe Mola atutakabalie swaumu zetu, azipokee Sala zetu na visimamo vyetu na pia atusamehe makosa yetu kwa munasaba wa mwezi huu.
Kama una tukio lolote la sherehe za Eid popote ulipo duniani ambalo utataka kuliwasilisha kwetu tunakuomba ututumie kupitia othmanmaulid@gmail.com nasi tutalichapisha ili tuweze kuona vipi sikukuu ya Eid inasherehekewa sehemu mbalimbali ulimwenguni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.