RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Watendaji Wakuu katika Ofisi na Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, Dk Shein amefanya uteuzi huo kutokana na madaraka aliyopewa chini ya Vifungu 49 (1), 50 (2) na 50 (4) vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984. Uteuzi huo umeanza leo tarehe 25 Novemba 2010. Walioteuliwa ni
1. BARAZA LA MAPINDUZI
KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI NA KATIBU MKUU KIONGOZI
DK. ABDULHAMID YAHYA MZEE
NAIBU KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI :ND. SALMIN AMOUR ABDULLA
2. OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, IKULU
KATIBU MKUU :ND. SALUM MAULID SALUM
NAIBU KATIBU MKUU (IDARA MAALUM ZA SMZ) :ND. ABDULLA JUMA ABDULLA
NAIBU KATIBU MKUU (USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA URATIBU WA SHUGHULI ZA WAZANZIBARI WALIOPO NCHI ZA NJE) :ND. SAID ABDULLA NATEPE
NAIBU KATIBU MKUU (TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA) :ND. MWINYIUSSI ABDULLA HASSAN
3. OFISI YA RAIS (FEDHA, UCHUMI NAMIPANGO YA MAENDELEO)
KATIBU MKUU :ND. KHAMIS MUSSA OMAR
NAIBU KATIBU MKUU (FEDHA) : ND. ABDI KHAMIS FAKI
KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO :ND. AMINA KHAMIS SHAABAN
4. OFISI YA RAIS, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
KATIBU MKUU : ND. JOSEPH ABDULLA MEZA
NAIBU KATIBU MKUU : ND. YAKOUT H. YAKOUT
5. OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS
KATIBU MKUU : DR. OMAR D. SHAJAK
NAIBU KATIBU MKUU : DKT. ISLAM SEIF SALUM
6. OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS
KATIBU MKUU : DR. KHALID SAID MOHAMED
NAIBU KATIBU MKUU: ND. SAID SHAABAN SAID
7. WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
KATIBU MKUU : ND. ASAA AHMADA RASHID
NAIBU KATIBU MKUU : ND. ABDULGHANI MSOMA
8. WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
KATIBU MKUU : ND. MWANAID SALEH ABDULLA
NAIBU KATIBU MKUU; ND. ABDULLA MZEE ABDULLA
9. WIZARA YA AFYA
KATIBU MKUU : DR. MOHAMMED SALEH JIDAWI
MKURUGENZI MKUU : DR. MALICK ABDULLA JUMA
10. WIZARA YA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO
KATIBU MKUU : DR. VUAI IDDI LILA
NAIBU KATIBU MKUU : ND. MSANIF HAJI MUSSA
11. WIZARA YA USTAWI WA JAMII, NA MAENDELEO YA VIJANA, WANAWAKE NA WATOTO
KATIBU MKUU: ND. RAHMA MOHAMMED MSHANGAMA
NAIBU KATIBU MKUU : ND. MSHAM ABDULLA KHAMIS
12. WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO
KATIBU MKUU : ND. ALI SALEH MWINYIKAI
NAIBU KATIBU MKUU : ND. ISSA MLINGOTI ALLY
13. WIZARA YA ARDHI, MAKAAZI, MAJI NA NISHATI
KATIBU MKUU : ND.MWALIM A. MWALIM
NAIBU KATIBU MKUU : ND. TAHIR M. K. ABDULLA
14. WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO
KATIBU MKUU :ND. JULIAN RAPHAEL
NAIBU KATIBU MKUU: ND. RASHID ALI SALIM
15. WIZARA YA KAZI, UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI NA USHIRIKA
KATIBU MKUU : ND. ASHA ALI ABDULLA
NAIBU KATIBU MKUU : ND. ALI KHAMIS JUMA
16. WIZARA YA KILIMO NA MALIASILI
KATIBU MKUU : ND. AFFAN OTHMAN MAALIM
NAIBU KATIBU MKUU (KILIMO) :ND. JUMA ALI JUMA
NAIBU KATIBU MKUU (MALIASILI): DR. BAKARI S. ASSEID
17. WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
KATIBU MKUU :DR. KASSIM GHARIB JUMA
NAIBU KATIBU MKUU: DR. OMAR ALI AMIR
No comments:
Post a Comment