Habari za Punde

MAWAZIRI WA SUK- PORTRAIT

OFISI ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapimduzi Ikulu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe Dr. Mwinyihaji Makame. (CCM)
OFISI ya Rais (Fedha,uchumi na Mipangoya Maendeleo). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo. Mhe. Omar Yussuf Mzee. (CCM)   
 OFISI ya Rais,( Utumishi wa Umma na Utawala Bora). Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishiwa Ummanac Utawala Bora .Mhe. Haji Omar Kheri. (CCM) 
 OFISI ya Makamo wa Kwanza wa Rais. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais. Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej. (CUF)     

OFISI ya Makamo wa Pili wa Rais. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais.Mhe. Mohammed Aboud  Mohammed.(CCM)     

WAZIRI wa Wizara ya Katiba na Sheria. Mhe. Aboubakar Khamis Bakary. (CUF) 

WAZIRI wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano.Mhe. Hamad Masoud Hamad. (CUF) 

WAZIRI wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali .Mhe. Ramadhani Abdalla Shaaban.(CCM) 

WAZIRI wa Wizara ya Afya. Mhe. Juma Duni Haji.(CUF)

WAZIRI wa Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawakena Watoto, Mhe. Zainab Omar Mohammed. (CCM) 

WAZIRI wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo. Mhe. Abdilahi Jihadi Hassan. (CUF)

WAZIRI wa Wizara ya Ardhi, Makaazi,Maji na Nishati. Mhe. Ali Juma Shamuhuna. (CCM)

WAZIRI wa Wizara ya Kilimo na Maliasili Mhe. Mansoor Yussuf Himid. (CCM)

WAZIRI wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko, Mhe Nassor Ahmed Mazrui. (CUF)  

WAZIRI wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Mhe.  Said Ali Mbarouk (CUF)
MJUMBE wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum, Machano Othman Said. (CCM)

MJUMBE wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum, Haji Faki Shaali, (CUF) 

MJUMBE wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiye na Wizara Maalum, Suleiman Othman Nyanga, (CCM) 

  NAIBU WAZIRI Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko, Thuwaiba Edington Kissasi (CCM) 

NAIBU WAZIRI, Wizara Habari, Utamaduni,Utalii na Michezo, Bihindi Hamad Khamis. (CCM)

NAIBU Waziri,Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (CCM)  
NAIBU WAZIRI, Wizara ya Elimu, na Mafunzo ya Amali . Zahra Ali Hamad. (CUF)

NAIBU WAZIRI, Wizara ya Afya Sira Ubwa Mamboya (CCM)
NAIBU WAZIRI Wizara Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Haji Mwadini Makame (CUF)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.