Habari za Punde

MATUKIO YA HAJJ KATIKA PICHA

 Mahujaaj wakielekea 'Arafah kutekeleza moja katika nguzo kuu za Hajj - Kusimama 'Arafah
 Mahujaaj wakisali Sala za Adhuhuri na Alasiri kwa pamoja katika Masjid An Namirah - Mina
 Mahujaaj wakitekeleza ibada ya Tawaaf - moja katika nguzo za Hajj
 Mahujaaj wakipanda Mlima 'Arafah
Mahujaaj wakisimama katika Mlima 'Arafah wakitekeleza nguzo kuu ya Hajj - kusimama 'Arafah

Photo Credit. boston.com

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.