Habari za Punde

MKONO WA EID MUBAARAK MKE WA RAIS WA ZANZIBAR - NYUMBA ZA WATOTO YATIMA

 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akitembelea Nyumba ya Watoto Mazizini alipofika kuwatembelea na kuwapa mkono wa Eid Mubaarak, akipata maelezo kutoka kwa Mlezi Mkuu waNyumba hiyo Zakia Mohammed

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akitowa nasaha zake kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Mazizini baada ya kuwapa Mkoni wa Eid.


 
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisisitiza jambo kwa Mama Mkuu wa nyumba ya watoto, katikati Mkurugenzi wa Ustawi wa Jamii Halima Maulid Kibanzi


.

  WATOTO wakiwa na bahasha zao baada ya kukabidhiwa sikuku yao Mke wa Rais wa Zanzibar alipowatembelea kuwapa mkono wa Eid Mubarak


MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimpa mkono wa Eid Mubarak Mtoto Asha Abdalla anayelelewa kijiji hapo.

  WATOTO wakiwa na bahasha zao baada ya kukabidhiwa sikuku yao Mke wa Rais wa Zanzibar alipowatembelea kuwapa mkono wa Eid Mubarak
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein alipata fursa ya kutembelea majengo ya Kijiji cha SOS Mombasa alipowatembelea Watoto wa Kijiji hicho akiwa na Mkurugenzi wa Kijiji Suleiman Mahamoud Jabir akiwapatia maelezo ya kijiji.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.