Habari za Punde

UREMBO WA HINA - NANI ZAIDI UZAMANI AU USASA?

 Staili za wazee wetu. Umeiona ilivyokoza? Uzamani huo
 Hii ndiyo iliyokuwa ikiitwa barabara- unapita tu - Uzamani huo
 Haya ndio machenza ati yakikwanguliwa tayari kurudiwa tena mpaka ikolee- Uzamani
 Huu sijui niuiteje ila ni usasa
 Huyu ni mtalii katika usasa wa Piko
 Huyi ni mtarajiwa katika usasa
 Huyu alikuwa akitafuta cha kukitafuta katika usasa
 Hawa walikuwa na mtarajiwa katika usasa
 Hawa ni wageni ambao wamependeza katika usasa
Huyu bado anao uzamani wa kuwekwa kitako.

Nani zaidi staili za zamani au za kileo?

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.