WANAFUNZI wa Kidatu cha Pili wa Skuli ya Haile Sallassie wakiwa katika chumba cha mitihani wakifanya mtihani wa Civic.
HIVI ndivyo inavyokuwa wakati wa kipindi cha mitihani kila unachokisoma unaona baada hakijakaa kichwani kama wanafunzi hawa wa skuli ya Haile Sellassie wakibukuwa kwa mara ya mwisho.
WANAFUNZI wa Kidatu cha Pili wakiwa katika bustani ya Jamhuri wakijikumbusha masomo yao kabla ya kuingia chumba cha mitihani iliyoanza Zanzibar kwa Watahiniwa wote wa Kidatu cha Pili.
No comments:
Post a Comment