Habari za Punde

MKKUTANO WA KUUPITIA MUSWADA WA KATIKA - SALAMA HALL BWAWANI

BAADHI ya Washiriki wa Mjadala wa Muswada wa Katiba wakifuatilia uchangiaji 
KUTOKA kulia Mrajisi Mkuu wa Serikali Zanzibar Abdalla Waziri, Naibu Mwanasheria Mkuu Zanzibar Said Hassan Said na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Zanzibar Othman  Masoud Othman, wakitoka katika Ukumbi wa Mkutano wa kupitia Muswada wa Katiba ya Jamhuri  ya Muungano uliofanyika Ukumbi wa Salama Bwawani. 
 
WANANCHI wakitoka katika uikumbi baada ya kumalizika mjadala huo.
INAONEKANA wakisema kipengele hichi?  Wananchi hawa wakiupitia Muswada wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kumalizika Mkutano huo wa kuchangia.
 MUANDISHI wa Gazeti la Zanzibar Leo Mwantanga Ame akizungumza na Muasisi wa Muungano Mzee Hassan Nassoro Moyo, nje ya Ukumbi baada ya kumalizika  Mjadala wa Muswada wa Katiba.
WANANCHI wakitoka katika  ukumbi baada ya kumalizika Mkutano wa kujadili Muswada wa Katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania ukumbi wa Salama Bwawani. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.