Habari za Punde

LIGI DARAJA LA KWANZA - BLACK SAILOR 1 ZIMAMOTO 2

 MSHAMBULIAJI wa timu ya Zimamoto Kassim Juma akimpita beki wa timu ya Black Sailor Mshamba Mcha katika mchezo wa ligi daraja la Kwanza Unguja uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Zimamoto imeshinda kwa 2--1. 
 MSHAMBULIAJI wa  Timu ya Zimamoto Hamad Mgeni akiruka kihunzi cha beki wa timu ya Black Sailor Mshamba Mcha katika mchezo wa ligi ya Unguja

BEKI wa Timu ya Black Saloir Mshamba Mcha akimpita beki wa timu ya Zimamoto Halfan Ali katika mchezo wa ligi Daraja laKwanza iliofanyika uwanja wa Mao timu ya Zimamoto imeshinda 2--1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.