MOJA ya Barabara za Pemba ikiwa imesita ujenzi wake kutokana na Mvua za Masika kushamiri na kuzuia ujenzi wake, kama inavyoonekana barabara ya Konde - Wete ikiwa katika hali ya kuharibika baada ya kuwekwa kifusi ili kukamilisha hatua ya kuwekwa lami.
MIUNDOMBINU ya Barabara ikiwa ni kichocheo cha maendeleo kwa Wananchi wa Vijijini na Mijini kuweza kurahisisha usafiri wa kusafirisha bidhaa zao kufika sokoni kwa wakati na salama, moja ya barabara ya Wete - Konde ikiwa ni moja ya barabara mpya inayojengwa.
No comments:
Post a Comment