Habari za Punde

ASKARI WA MANISPAA WAKIWA KAZINI DARAJANI.


ASKARI wa Baraza la Manispaa Zanzibar wakiwa na boksi la bidhaa mbalimbali walivyokamata kwa mfanyabiashara wa kutembeza akiwa anafanya biashara sehemu zisizoruhusiwa kufanya biashara katika baadhi ya mitaa ya mji mkongwe. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.