Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakijumuika na wakulima wa zao la kafuu kuchambua karafuu zilizochumwa katika kambi ya karafuu Daya Mtambwe,akiwa katika ziara ya kutembelea kambi za wachumaji wa karafuu, Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,akimsiliza jambo Mtoto Hamadi Hassan wa darasa la Nne Skuli ya msingi Daya Mtambwe,mara baada ya kukitembelea kituo cha ununuzi wa zao la Karafuu cha Daya Mtambwe,pia kuzungumza na wakulima wa zao hilo jana,katika Wilaya ya Wete jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,wakipata maelezo kutoka kwa naibu Mkurugenzi wa ZSTC Pemba, Hamadi Khamis Hamadi,(kushoto) walipofika katika banda la ZSTC Daya Mtambwe,Wilaya ya Wete,Mkoa wa kaskazini Pemba katika kituo cha ununuzi wa zao la Karafuu.
No comments:
Post a Comment