Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi waliofiliwa wa ndugu zao katika ajali ya Meli ya Mv Spice Islander,iliyozama katika mkondo wa Nungwi,ikiwa safarini kuelekea Pemba,mazungumzo ya kuwafariji wananchi hao, yalifanyika jana katika ukumbi wa Salama Bwawani,Mjini Zanzibar
Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipowafariji kutokana na kufiliwa na jamaa zao katika ajali ya meli ya Mv Spice Islander,iliyozama hivi karibuni katika mkondo wa Nungwi mkoa wa kaskazini ikielekea Pemba.
Wananchi wa Wilaya ya Mjini Unguja, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipowafariji kutokana na kufiliwa na jamaa zao katika ajali ya meli ya Mv Spice Islander,iliyozama hivi karibuni katika mkondo wa Nungwi mkoa wa kaskazini ikielekea Pemba.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
muheshimiwa othiman mapara picha zako unaziingiza vipi hazionekani kama ukiziweka usiziweke kubwa sana ukiziweka kubwa sana kwanza blog yako itakuwa slow na la pili huwa hazioneshi kama hizi ulivyoziweka
ReplyDeleteSamahani kwa usumbufu nilibadilisha utaratibu wa kuzipandisha Picha nadhani hili ndilo lilileta tatizo tumeliona na tutarekebisha tutarudia na utaratibu wa zamani. Shukran Mdau wa Blog ya bustani njema
ReplyDeleteTumerekebisha tunawaomba mtujuulishe Wadau kama zinaonekana
ReplyDeleteKaka asante,sasa mambo mazuri!
ReplyDelete