Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akiwasalimia watoto wa kijiji cha Piki wilaya ya Wete Pemba, mara baada ya kuwapa polewananchi wa Piki, Kisiwani na Mzambarau takao,waliofiliwa na jamaa zao katika meli ya Mv Spice Islander,hivi karibuni katika mkondo wa Nungwi kaskazini Unguja, ikiwa katika safari ya kisiwani Pemba. (Picha na Ramadhan Othman Pemba)
"Fanyeni tafiti za kina kuhakikisha Watanzania wanapata maji" Waziri Aweso
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
SERIKALI imetoa vifaa vya kisasa vya utafiti wa maji chini ya ardhi,huku
ikitoa maagizo kwa mamlaka za maji kuhakikish...
38 minutes ago
Mkuu,
ReplyDeleteHii picha safi sana. Imenigusa sana. Watoto kweli ni maua. Ukiangalia sura zao zenye bashasha unahisi matatizo yote ya dunia yamepotea. Allah hakukosea aliposema watoto ni mapambo. Big up Mkuu!
Mdau
USA.