Hili ni eneo la Kama ambapo yamechimbwa makaburi waliyolazwa mashahidi waliofariki katika ajali ya Mv Spice Islander. Serikali imeamua kuwazika maiti wote waliopatikana katika eneo hili.
NEEC YAZINDUA PROGRAMA YA IMARISHA UCHUMI NA MAMA SAMIA MKOA WA MOROGORO
-
Na mwandishi wetu, morogoro
Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limezindua Program ya
Imarisha Uchumi na Mama Samia katika Mkoa wa Morogoro kw...
5 hours ago
Serikali pia ijenge mnara,au alama yoyote katika eneo hili iwe ni kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
ReplyDeleteEh, bwana kweli! lkn.kwa jamii kama yetu ya kihafidhina lazma watu wataihusisha na imani ya dini nyingine.
ReplyDelete