Wawakilishi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wakishiriki katika Kongamano la Wanawake Wajasiriamali lililofunguliwa na Mke wa Rais wa Tanzania Mama Salma Kikwete, Ukumbi wa Ubungo Plaza
MKE wa Tanzania Mama Salma Kikwete Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji Dk. Mary Nagu, wakisimama kwa dakika moja kuwaombea marehemu waliozama kwa meli huko Nungwi.
Wake wa Viongozi wastaafu nao wakisimama kwa dakika moja kuwaombea waliokutwa n maafa ya ajalai ya MV Spice
MKE wa Rais wa Tanzania Mama Salma Kikwete , Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Waziri Mary Nangu wakishiriki kuimba wimbo Maalum katika uzinduzi wa Kongamano la Wanawake na kuwatunuku Tunzo wake wa Marais Wastaafu na walioko madarakani.
MKE wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume akitowa nasaha zake katika Kongamano hilo.
Mke wA Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mwanamwema Shein akitowa nasaha zake katika uzinduzi wa Kongamano la Wajasiri amali Wanawake
Wasanii wa kikindi cha Regina wakitowa burudani.
MKE wa Rais wa kwanza Zanzibar, Mama Fatma Karume Akipokea Tunzo ya OUTSTANDIG WOMEN LEARSHIP AWARD. yake kutoka kwa Mke wa Rais wa Tanzania Mama Salma Kikwete . iliotolewa kwa Wake wa Marais wastaafu na walioko madarakani
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Akipokea Tunzo ya OUTSTANDIG WOMEN LEADERSHIP AWARD. yake kutoka kwa Mke wa Rais wa Tanzania Mama Salma Kikwete . iliotolewa kwa Wake wa marais wastaafu na walioko madarakani
Wake wa viongozi wastaafu na walioko madarakani wakiwa katika picha pamoja.
No comments:
Post a Comment