Habari za Punde

MDAHALO JUU YA MCHAKATO WA UUNDAJI WA KATIBA MPYA.

MHADHIRI Profesa Yash Pal Ghai, mtalamu wa Katiba kutoka Kenya akitowa mada ya kushauri ju ya Utaratibu mzuri na Mchakato Unaoofaa Kunda Katiba,katika kongamano lililoandaliwa na Taasisi Tano za kiraia Zanzibar katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA. 









3 comments:

  1. Mijadala ya katiba ni mizuri lakini wananchi wanahitaji kuelimishwa. wengi kati ya wanaokwenda kwenye hii mijadala hawaijui hata katiba yenyewe badala yake jazba tupu! tunaonewa..tunaonewa! kuna baadhi ya rafki zangu hapo wanadhani matatizo yetu yote yanatokana na muungano ila hawaelezi ni kwa namna gani, utaskia ..xx keshasema! Wapo pia wanaotamani 'sayyid'arudi.Mimi wakati mwengine nachoka hata kuwasikiliza. Hebu tukaeni chini tuangalie matatizo yetu sisi kama sisi. tuacheni kuwa watumwa wa historia. Kila unaemkuta utaskia..Ah enzi hizo! palikua na hivi,palikua na vile! sawa hayo yamepita. kuazia hapa tunakwenda wapi?..Kwa taarifa tu na wenzetu ktk huo muunga weshachoka hivo hivo! jee tumesha jipanga?

    ReplyDelete
  2. wengine wakiona maghorofa daa,utaskia pesa zetu zile,kila jioni zapelekwa.mpipange. majimbo yenu yana watu si zaidi ya 10,000 kila jimbo lina mbunge na mwakilishi, leteni maendeleo sio kuoa tuu.

    ReplyDelete
  3. Wengine hawachangii kwenye huo mdahalo, watoa macho tuu, kama huyo jamaa wa katikati mwenye shati ya rangi ya maziwa(picha ya 3 kutoka juu)wakifika mitaa tana kelele!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.