MHADHIRI Profesa Yash Pal Ghai, mtalamu wa Katiba kutoka Kenya akitowa mada ya kushauri ju ya Utaratibu mzuri na Mchakato Unaoofaa Kunda Katiba,katika kongamano lililoandaliwa na Taasisi Tano za kiraia Zanzibar katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA.
UGANDA YAZINDUA UJENZI WA OFISI YA UBALOZI JIJINI DODOMA
-
Serikali ya Jamhuri ya Uganda imezindua mradi wa ujenzi wa jengo la Ofisi
ya Ubalozi wake ambao utekelezaji wake umeshaanza kufanyika katika mjini wa
Ser...
9 minutes ago
Mijadala ya katiba ni mizuri lakini wananchi wanahitaji kuelimishwa. wengi kati ya wanaokwenda kwenye hii mijadala hawaijui hata katiba yenyewe badala yake jazba tupu! tunaonewa..tunaonewa! kuna baadhi ya rafki zangu hapo wanadhani matatizo yetu yote yanatokana na muungano ila hawaelezi ni kwa namna gani, utaskia ..xx keshasema! Wapo pia wanaotamani 'sayyid'arudi.Mimi wakati mwengine nachoka hata kuwasikiliza. Hebu tukaeni chini tuangalie matatizo yetu sisi kama sisi. tuacheni kuwa watumwa wa historia. Kila unaemkuta utaskia..Ah enzi hizo! palikua na hivi,palikua na vile! sawa hayo yamepita. kuazia hapa tunakwenda wapi?..Kwa taarifa tu na wenzetu ktk huo muunga weshachoka hivo hivo! jee tumesha jipanga?
ReplyDeletewengine wakiona maghorofa daa,utaskia pesa zetu zile,kila jioni zapelekwa.mpipange. majimbo yenu yana watu si zaidi ya 10,000 kila jimbo lina mbunge na mwakilishi, leteni maendeleo sio kuoa tuu.
ReplyDeleteWengine hawachangii kwenye huo mdahalo, watoa macho tuu, kama huyo jamaa wa katikati mwenye shati ya rangi ya maziwa(picha ya 3 kutoka juu)wakifika mitaa tana kelele!
ReplyDelete