Habari za Punde

WAZIRI WA ELIMU AKUTANA NA WAANDISHI KUZUNGUMZIA MIKOPO YA WANAFUNZI

Waziri wa Elimu na mafunzo Amali Bw Ramadhan Abdallah Shaaban akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari juu ya masuala ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu. Mkutano huu ulifanyika katika jengo la Wizara ya Elimu Mazizini.

Picha na Hamad Hija, Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.