Expect the unexpected when 100% Zanzibari hits Stonetown this Saturday to bring you 'Maridhiano Day' celebrations.
Where: The Old Fort (Amphitheater)
Time: 8.30 pm
On stage: Mkota Ngoma (The Devil Dancers from Mkoani, Pemba) + Unguja Taarab All-stars
ENTRANCE IS FREE THANKS TO OUR FAMILY OF SUPPORTERS!!!


Sasa huyu jamaa kutafuna kuku (sijui kama ni kuku wa kweli au la) huu ni utamaduni wetu? Hii kwa maoni yangu inaweza kuwatisha wageni kwenda kuangalia onyesho kwa kuwa ni wazi inaonesha ukatili wa wanyama na haileti picha nzuri.
ReplyDeleteAh..zenj kuna anaejali ukatili dhidi ya wanyama? Punda wanapigwa kwa mapauro mpaka wanakatwa maskio M/makumbi..watu kimyaaa!!!
ReplyDelete