Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha rasmi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, kuwa Katibu Mkuu Kiongozi badala ya Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo, aliyemaliza muda wake. Hafla hiyo ya kumuapisha Balozi Sefue, imefanyika leo Ikulu Dar es Salaam. wa pili (kushoto) kwa Rais ni Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phllemon Luhanjo, akisimamia zoezi hilo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR -UFUNGUZI WA KONGAMANO LA MKUPONGEZA
RAIS WA ZANZIBAR
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema katika
kipindi cha miaka mitano iliyopita, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
(WEMA)...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment