Mgeni rasmi na mwanafunzi wa zamani wa chekechea ya Saateni Zanzibar, Simai Mohamed Said akizungumza kwenye sherehe ya siku ya wazazi wa shule ya Saateni juzi.
Mgeni rasmi na mwanafunzi wa zamani wa shule ya chekechea ya Saateni zanzibar, Simai Mohamed Said (wa pili kushoto) akiangalia maonyesho ya kazi za wanafunzi wa Saateni kwenye sherehe ya wazazi juzi.
Kushoto ni Section Leader, Mwalimu Rosalia Martin Kabemba.Mgeni rasmi na mwanafunzi wa zamani wa chekechea ya Saateni Zanzibar, Simai Mohamed Said akizungumza kwenye sherehe ya siku ya wazazi wa shule ya Saateni juzi.
No comments:
Post a Comment