Katibu Mkuu wa Chama cha CUF Maalim Seif Sharif Hamad akipokea Maandamano ya wanachama CUF wakiunga mkono uamuzi wa Baraza Kuu la CUF Kuwavua wanachama Hamad Rashid pamoja na wenzake yaliyofanyika leo Gombani ya Kale Pemba.
Katibu Mkuu wa Chama cha CUF Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na waandamanaji waliofika kwa wingi kwenye Maandmano ya kuyaunga mkono Maamuzi ya Baraza Kuu la CUF.
Umati wa Wanachama wa Cuf waliofurika kwenye Uwanja wa Gombani ya Kale wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia
Katibu Mkuu wa Chama cha CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia baada ya kupokea Maandamano ya WanaCUF Pemba.
Wanachama wa CUF wakipita mbele ya Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif wakiwa na mabango yenye ujumbe wa Kuunga mkono maamuzi ya Baraza Kuu la CUF
Picha zote na Bakari Mussa, Pemba
No comments:
Post a Comment