Habari za Punde

Waziri Mbarouk Azungumza na Jumuiya za Watembeza Utalii Zanzibar.li Said wa Habari

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk, akizungumza na Wadau wa Utalii Zanzibar na kuwahakikishia usalama kwa Wageni wanaokuja kuitembelea Zanzibar na kuimarisha hali ya ulinzi na kuendelea amani na utulivu uliokuwekwe na utaendelea kuwepo wasiwe na wasiwasi na wageni wao wakati wakiwa katika safari zao za kitalii. mazungumzo hayo yamefanyika katika Ukumbi mdogo wa Salama Bwawani.  

Waziri Mbarouk, akisisitiza jambo alipokuwa na mazungumzo na Wadau wa Utalii Zanzibar. 
Maosisa wa Ubalozi wa Marekani na Uingereza na Wadau wa Utalii wakimsikiliza Waziri Mbarouk alipokutana nao kuwahakikishia  hali ya Amani na Utulivu kwa Wageni na Wananchi wa Zanzibar.
Wadau wa Utalii Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.