Wananchi wakiangalia Samaki aina ya Papa aliyevulia katika bahari ya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, ambaye anakisiwa kuwa na kilo 150, akipasuliwa ili kuweza kuuziwa kwa Wananchi wanofika katika marikiti hiyo kupata kitoweo katika maakuli yao.Papa huyu anakaribia kufikia urefu wa futi tano na nusu.
Wananchi Mkoa wa Kusini Unguja Kufurahia kwa Amani Sikukuu ya EID EL ADH-HA
– RPC SHILLAH
-
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa
Polisi SACP.Daniel Shillah amesema Swala na Baraza la Eid linalotarajiwa
kufa...
7 minutes ago
No comments:
Post a Comment