Habari za Punde

Mapitio ya Rasimu ya Mpangokazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava akifungua Warsha ya Mapitio ya Rasim ya Mpango Kazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira kulia Mkurugenzi Msaidizi Mazinira Bw Stophan Nkondokaya leo Kwenye Hotel ya Top Life Mjini Morogoro[Picha na Ali Meja]

Washiriki wa Warsh ya Wadau wa Kufanya Mapitio ya Rasimu ya Mpango Kazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Mgeni Rasim Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava Huko Morogoro[Picha na Ali Meja]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.