Habari za Punde

Nawakaribisha Wadau kutembelea Blog ya Kweupe.blogspot.com



Wadau wote napenda kuwatangazia kuwa nimefungua blog yangu ambayo itakuwa ikitoa taarifa za matukio mbalimbali hapa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Naomba wadau wote msaidie kukuza blog hii kwa maendeleo ya Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. blog yenyeni ni http://www.kweupe.blogspot.com/.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.