Habari za Punde

Wananchi waliokimbila Shimoni na Somali kuomba Hifadhi ya Ukimbizi Warejea Nyumba Kisiwani Pemba




 Mkuu wa Mkua wa Kusini Pemba Juma Kassin Tindwa akisalimiana na baadhi ya Wananchi waliokuwa Nchini Somali Wakimbizi walipowasili banfdari ya Mkoani kwa Boti ya Sea Bus.

Rashid Abdalla Said, akitowa shukrani kwa Uongozi wa UNHCR NA Serekali ya Tanzania kewa Ushirikiano na Serekali ya Somali na Serekali ya Zanzibar kwa kuwafikisha Nyumbani kwa Samala. akiwa katika bandari ya Mkoani Pemba baada ya kuwasili Kisiwani Pemba hivi karibuni.

1 comment:

  1. Mziki wa maisha sasa huo!
    Vijana wamerudi lkn. sura zao zinaozonesha khofu ya moja kwa moja!

    Khofu hii haitokani na hali mbaya ya usalama bali maisha,Pemba ile ile na sasa wana familia.

    Mungu awasaidie hicho watachogaiwa na UNHCR kiweze kuwa mtaji wa kweli wa kuanzia maisha.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.