Habari za Punde

Dk. Shein Afunguwa Msikiti Mwanyanya leo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe katika hatua ya ufunguzi wa Msikiti Masjid Rahmatullah,Mwanyanya Mkoa wa Mjini Magharibi,uliojengwa kwa ufadhili wa Sheik Ahmed Said Mareh na
usimamizi wa Mheshimiwa Mohamed Raza.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na na wananchi na kutoa nasaha zake wakati wa sherehe za ufunguzi wa Msikiti Masjid Rahmatullah,Mwanyanya Mkoa wa Mjini Magharibi,uliojengwa kwa ufadhili wa Sheik Ahmed Said Mareh na usimamizi wa Mheshimiwa Mohamed Raza

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.