Wake wa Makamu wa Rais, Mama Zakia Bilal (katikati) Mama Asha Bilal (wa pili kulia) wakijumuika na wananchi katika hafla ya futari yapamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais iliyofanyika katika Ukumb wa MakonyoChakechake Pemba jana Agosti 14, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wananchi wa Kisiwa cha Pemba,baada ya hafla fupi ya futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu naopamoja katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana Agosti 14, 2012

Picha zote na Muhiddin Sufiani OMR
No comments:
Post a Comment