Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Indonesia
nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza kuda wake wa kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya
Indonesia nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza kuda wake wa
kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Jamhuri ya
Indonesia nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa
kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi wa
Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,aliyefika
kumuaga Rais,baada ya kumaliza kuda wake wa kazi. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment