Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Jumuiya ya
Ulaya nchini Tanzania Filiberto Ceriani Sebregondi,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo kusalimiana na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini
Tanzania Filiberto Ceriani Sebregondi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo kusalimiana na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Jumuiya ya
Ulaya nchini Tanzania Filiberto Ceriani Sebregondi,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment