Baadhi ya wananchi na wavuvi wa Kijiji cha Marumbi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,alipofika Skuli ya Sekondari ya Marumbi Kuzungumza na Wananchi na Wavuvi katika
kijiji hicho leoMsemaji wa Wananchi na wavuvi wa kijiji cha Marumbi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Ufuzo Haji,akitoa maelezo ya malalamiko ya wananchi hao mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,aliyefika Skuli ya Sekondari ya Marumbi Kusikiliza kilio chao kutokana na mzozo na Watu wa Kijiji cha Chwaka leo
Akina mama wa Kijiji cha Marumbi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,alipofika Skuli ya Sekondari ya Marumbi Kuzungumza na Wananchi na Wavuvi katika kijiji hicho leo, kusikiliza kilio chao cha kuchomewa Boti zao mbili
Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Gavu,akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipofika katika Skuli ya Marumbi kusikiliza malalamiko ya mzozo wa Wananchi wa Kijiji cha Marumbi na Wananchi wa Chwaka, badala ya Chwaka walipozichukua Boti mbili na Kuzichoma Moto hivi karibuni
Waziri wa Uvuvi na Mifugo Abdilah Jihadi Hassan,akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipofika katika Skuli ya
Marumbi kusikiliza malalamiko ya mzozo wa Wananchi wa Kijiji cha Marumbi na Wananchi wa Chwaka, badala ya Chwaka walipozichukua Boti mbili na Kuzichoma Moto hivi karibuni
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Mussa Aboud Jumbe, akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipofika katika Skuli ya
Marumbi kusikiliza malalamiko ya mzozo wa Wananchi wa Kijiji cha Marumbi na Wananchi wa Chwaka, badala ya Chwaka walipozichukua Boti mbili na Kuzichoma Moto hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na na Viongozi na wananchi pamoja na Wavuvi wa Kijiji cha Marumbu Wilaya ya Kati Mkoa Kusini Unguja leo,katika Skuli ya Sekondari ya Marumbi,kuhusu tatizi la Mzozo wa Wavuvi wa kijiji hicho kuchukuliwa Boti zao na Wavuvi wa Kijiji cha Chwaka na hatimae kuzichoma Moto boti hizo.
[Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Picha ya 7 kutoka juu, anaezungumza sio Mustafa Aboud Jumbe kama ulivyoripotiwa. Jina lake sahihi ni Mussa Aboud Jumbe.
ReplyDeleteShukran kwa kutushtua tumerekebisha.
ReplyDelete