Habari za Punde

Dk Shein afutarisha Kusini Unguja

 Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa  Mkoa wa Kusini Unguja, wakiwa katika  chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Jengo la Ofisi ya  Uhamiaji Wilaya ya Kati Unguja jana
 Baadhi ya akina mama wa Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika  chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati Unguja jana
 Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,(katikati) akijumuika na  akinamamawa wa  Mkoa wa Kusini Unguja  katika  Chakula cha Futari iliyoandaliwa kwa wananchi hao na Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika
viwanja vya  Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati Unguja jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiitikia dua na Viongozi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini  Unguja jana iliyoombwa na Mufti wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,baada ya futari  iliyofanyika katika Viwanja vya Jengo la  Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Viongozi  na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja mara  baada ya kufutari
nao pamoja jana katika futari aliyowaandalia huko Viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamija Tunguu Wilaya ya Kati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akijumuika na wananchi pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari,
aliyowaandalia wananchi hao huko viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja jana

Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.