Kuna ajali mbaya ya gari aina ya Coaster imetokea leo ambapo kuna vijana walikuwa wakitoka Shamba mapumzikoni.
Miongoni mwa waliofariki ni ndugu wawili wakaazi wa Malindi. Majeruhi wengine wapo Hospitali ya Mnazimmoja kwa matibabu.
Tutawajuulisha zaidi tutakapopata habari za uhakika
No comments:
Post a Comment