Habari za Punde

Rais Kikwete akutana na Rais wa Malawi Joyce Banda Maputo Msumbiji

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Rais wa Malawi Mhe.Joyce Banda mjini Maputo Msumbiji leo asubuhi kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa mpaka kati nchi hizo uliopo kwenye ziwa Nyasa.Wakati wa mazungumzo hayo Marais hao wawili wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za kidiplomasia kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro huo (picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.