Ripoti ya Tathmini ya Athari za Kimazingira zitakazotokana na Jengo la Mambo Msiige kugeuzwa hoteli ya nyota tano sasa ipo tayari.
Unaweza kuipakuwa ripoti hiyo kupitia link ifuatayo:
http://www.smole.or.tz/doc/EIA%20-%20MAMBO_MSIIGE.pdf.
Labda nikupe tahadhari kuwa ripoti hiyo ni kubwa yenye 18 MB na kurasa 213 na
kutayarishwa na kampuni inayoitwa ARMS ON Environment ya Dar-es-salaam.
Mradi huo uko hivi
"The proposed project will involve mainly rehabilitation, and alteration works, decoration and
finishes to be applied on the rehabilitated building to ensure architectural, structural soundness
and that it incorporates heritage aspects for the intended purpose.
The project aims at improving the tourist industry’s service delivery through providing an
additional modern hotel facility in the area with high hotel demand. The proposed project is expected to elevate performance of the tourist sector which current demand for hotel services is high due to
increasing influx of tourists and other commercial / human activities in the municipality.
Other factors contributing to the demand for modern hotel facility is due to increased number of
commercial and academic activities which brings more academicians and businessman leading to
increased number of visitors coming in and out of Stone Town."
Ripoti hiyo inahitimisha kuwa hakuna athari kubwa ya kimazingira na inapendekeza yafuatayo yazingatiwe kwa faida ya mradi na mazingira yenyewe:
1. All relevant government taxes associated with hotel construction and operation should be paid in a transparent way.
2. Jobs and employment associated with the proposed hotel development as a matter of priority should be given to local communities with appropriate skills.
3. Solid and liquid waste management should be strictly practiced in a systematic way to avoid systems malfunctioning and hence pollution to soils and groundwater and also
maintain a clean hotel environment.
4. Where capacity is limited, relevant training programmes should be established and implemented to build local capacity. Idara ya Mazingira Zanzibar inakaribisha michango baada ya kuisoma
ripoti hiyo.
Maoni hayo yawasilishwe Idarani kupitia mazingiraznz@yahoo.com na/au sheha_mjaja@hotmail.com.
Maoni hayo yawasilishwe Idarani si zaidi ya tarehe 26 Agosti 2012.
Kwa mujibu wa sheria Idara ya Mazingira ndiyo yenye wajibu wa kufanya mapitio ya ripoti na baadaye kutoa cheti EIA Certificate. Ili waifanye kazi hiyo vizuri wanahitaji maoni ya wadau. Utaratibu mzuri wa kutoa maoni ni kuangalia hadudi rejea walizopewa hiyo Kampuni ya ARMS na
kuangalia kama wamezifuata zote.
kuangalia kama wamezifuata zote.
Pili jee uchambuzi wao na hitimisho walilofikia ni sawa. Ikiwezekana kufanya hivyo tutaisaidia Zanzibar kupata miradi isiyoathiri mazingira yetu.
Labda nitoe indhari tu kuwa lengo la EIA si kukataa mradi bali kuhakikisha kuwa mazingira hayataathiriwa na kama kiwango cha athari ni muwafaka basi kuwa vipengele vya kupunguza athari hiyo.
Ahsante
Nawasilisha.
No comments:
Post a Comment