Shekh. Fadhil Soroga, akisoma dua baada ya kupata futari
Wananchi walioghudhuria katika futari ilioandaliwa na Benki ya NMB wakiitikia dua ikusomwa nba Shekh Soraga baada ya kufutari.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Mluku Abdalla Maggid, akisalimiana na Meya ya Mji wa Zanzibar Khatib Abrahaman baada ya kumaliza kufutari ilioandaliwa na Benki ya NMB.iliofanyika katika Hoteli ya Ocean View Kilima.
Meneja Masoko wa Benki ya NMB Imani Kajura, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na shughuli za benki hiyo inayotowa kwac wateja wake katika matawi yao Tanzania.
No comments:
Post a Comment