Habari za Punde

Ligi Kuu ya Grand Malt. KMKM na Bandari imeshinda 2-1

 Beki wa timu ya Bandari Hanif Khamis, akijiandaa kumzuiya mshambuliaji wa timu ya KmKm Haji Simba mwenye mpira.
 Golikipa wa timu ya Bandari akidaka mpira mbele mshambuliaji wa timu ya Kmkm Maulid Ibrahim Kapenta.




 Mshambuliaji wa timu ya Bandari Fauz Ali, akimpiga chenga beki wa timu ya Kmkm, wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mshambuliaji wa timu ya Bandari Fauz Ali, akimpita beki wa timu ya KmKm Kassim Ramadhani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt uliofanyika katika uwanja wa Amaan, timu ya Bandari imeshinda.2-.1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.