Wanawake na wakiwa katika Darasa la kujifunza ubora wa bidhaa za kusuka kwa ajili ya Soko la Kitalii, wakiwa katika kituo chao cha mafunzo Shangani.
Bidhaa za kufuma zinazotengenezwa na Wanawake wakiwa katika mafunzo ya ushoni wa bidhaa kwa ajili ya biashara ya Kitalii zikiwa na ubora wa hali ya juu, kama zinavyoonekana zikipendeza.
No comments:
Post a Comment