Habari za Punde

Msanii wa Picha za Tingatinga akichora picha katika Mji Mkongwe

Picha za kuchora za Tingatinga ni moja ya kivutio kwa Watalii wanaotembelea Visiwa vya Zanzibar na Vitongoji vyake kama alivyokutwa kijana huyu akiwa katika kazi yake ya kuchora picha katika mitaa ya mji mkongwe hivi karibuni, picha moja huuzwa kati ya dola 100/= kutegemea na ukubwa wa picha.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.