Habari za Punde

Ligi ya Kuu ya Grand Malt Mafunzo na Malindi zimetoka 2--2

 Mchezaji wa timu ya malindi Issa Haidar, akiambaa na mpira huku beki wa timu ya Mafunzo Ali Juma akijaribu kumzuia, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt, mchezo uliofanyika uwanja wa amaan timu hizo zimetoka sare ya mabao 2-2
Mchezaji wa timu ya Malindi Haji wa Haji, akiruka mkwanja wa beki wa timu ya Mafunzo Said Mussa, na refalii kutoa peneti kwa timu ya Malindi.

Golikipa wa timu ya Mafunzo Suleiman Janabi, akidaka mpira katika mchezo wa ligi kuu ya zanzibar grand malt.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.