Mtoto Nairat (7) na Bisambe (21) wenye matatizo ya ngozi wamepelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu ya ngozi na macho yanayowakabili na hivi sasa bado wapo hospitali ya Muhimbili wanaendelea na vipimo vya afya zao hadi sasa tumepokea fedha kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki kutoka sehemu mbali mbali ndani na nje ya nchi. Kutoa ni moyo na sio utajiri michango yote inawasilishwa kwa Hassan Khamis wa UK na Salma Said Zanzibar.
Watoto hawa wapo chini ya dhamana ya Salma Said aliyejitolea kuwashughulikia kwa muda wote wa matibabu.
Anuwani zao ni hizi hapa:
No comments:
Post a Comment