Habari za Punde

Mkurugenzi wa Mambo ya Nje Ofisi ya Zanzibar Balozi Silima ajitambuli​sha

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ofisi ya Zanzibar Balozi Silima
K.Haji,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana  na Mkurugenzui wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ofisi ya Zanzibar Balozi Silima K.Haji,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

1 comment:

  1. danganya toto nyengine ya muungano , kwa vipofu wenye macho lakini hawaoni, wana masikio lakini viziwi , wana midomo lakini mabubu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.