Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ofisi ya Zanzibar Balozi Silima
K.Haji,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mkurugenzui wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ofisi ya Zanzibar Balozi Silima K.Haji,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
ALLY HAPI AZINDUA KAMPENI ZA KISHINDO JIMBO LA SEGEREA
-
NA MWANDISHI WETU
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Ally Salumu Hapi, amezindua
kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Segerea,jijin...
2 hours ago
danganya toto nyengine ya muungano , kwa vipofu wenye macho lakini hawaoni, wana masikio lakini viziwi , wana midomo lakini mabubu
ReplyDelete