Habari za Punde

TSJ tawi la Pemba wafanya mtihani wa majaribio



WANAFUNZI wa Chuo cha Uwandishi wa Habari Tanzania Bara, TSJ tawi la Pemba wakiwa kwenye mitihani yao ya majaribio (test), wakifanya somo la uwandishi wa makala (feature writing) kwa ajili ya kujitayarisha na mitihani ya taifa ya chuo hicho inayoyarajiwa kufanyika katikati ya mwezi wa Novemba mwaka huu, (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.