Alienyoosha mkono kocha mkuu wa klabu ya
soka ya Jamhuri Salim Bausi wakati akibeza moja ya nafasi waliopoteza wachezaji
wa klabu hiy, na kukosa goli la tatu, katika mchezo wa ligi Kuu wa Zanzibar
uliopigwa juzi uwanja wa Gombani Pemba ambapo timu hiyo iliondoka na ushindi wa
magoli 2-1 dhidi ya bingwa mtetezi timu ya Super Falcon (picha na Haji Nassor, Pemba)
Mlinzi wa timu ya Jamhuri, Hussein Omar
akiwa juu ya mgongo wa mshambuliaji wa timu ya Super Falcon Soud Abdallah (19),
wakati mshambuliaji huyo akitaka kuumiliki mpira ili kuleta madhaara kwa
wapinzani wao, ambapo katika mchezo huo wa ligi kuu ya Zanzibar ,
Jamhuri ilishinda kwa magoli 2-1 (picha
na Haji Nassor, Pemba )
No comments:
Post a Comment